Mu'alim al-Qur'an - Connecting People with The Qur'an

Learn Arabic Alphabets, the Correct Qur'an Recitation, Meanings of the Qur'an, Rules of Tajwid, Memorization, and Arabic language of the Qur'an

Alphabets, Letters and Words

Learn the Arabic letters and words step by step with audio pronunciation helper

Qur'an Recitation

Learn how to read the Qur'an verse by verse and word by word

Meaning of the Qur'an

Translation of the Qur'an

Tajweed

Learning the rules of reading the Qur'an (Tajweed) and color-coded Tajweed recitation with audio helper

Memorizing the Qur'an

Memorizing the Qur'an verse by verse

Qur'anic Language

Learning Arabic as the language of the Qur'an with examples from the Qur'an itself

Mu’alim Al-Qur’an is a self-teaching and self-learning aid of the Qur’an based on modern media platforms. It encompasses all essential aspects of Qur’anic knowledge which is obligated to every Muslim. Its usage also extends to the conventional Qur’an schools as an aid to more efficient and richer learning experience. reducing learning cycle, increasing teaching capacity, and enhancing pupils’ knowledge of the Qur’an from just being learning to recite and memorize the Qur’an to understanding the recitation (tajweed) rules, meanings of the Qur’an, and the language of the Qur’an.

Development plan

The website www.mualim-alquran.com is the first stage of the development of Mu’alim Al-Qur’an. This first stage is a web-based solution that is accessible online for free through any internet appliance like a PC/Laptop (Mac or Windows), tablets (Apple or Android) and mobile phones (iPhone or Android). In all the appliances, the screen of this web-based Mu’alim Al-Qur’an adjusts perfectly and automatically to suit the appliance’s resolution.

In the second stage Mu’alim Al-Qur’an will be developed to a downloadable mobile application on both iPhone and Android platforms. This mobile app will be accessible offline and will enable users to access all the functionalities and content of the Mu’alim Al-Qur’an without the need to be online through WiFi or mobile data connectivity.

In the third stage Mu’alim Al-Qur’an will be developed to a built-in app in a dedicated branded tablet with all its functionalities and content, thus enabling its accessibility without the need of internet connectivity. Furthermore, the tablet will be equipped with a solar charger which will allow users to access Mu’alim Al-Qur’an without the need of external electricity supply.

Target Audience

Mu’alim Al-Qur’an is primarily intended for non-Arabic speaking Muslims who speak any of the following languages. Swahili, English, French, German, Spanish and Italian. The application is equally useful in self-teaching and self-learning of the Qur’an for any speakers of these languages.

Scope

Mu’alim Al-Qur’an includes the following six learning modules: (1) Foundation of Arabic alphabets, letters, and words based on standard Qaida Al-Noorania. (2) Recitation of the Qur’an word-by-word and verse-by-verse. (3) Rules of Tajweed in recitation. (4) Memorization of the Qur’an based on the standard memorization methodology of repetition and tracking progress. (5) The meaning of the Qur’an through translations. and (6) Arabic as the language of the Qur’an.

User’s Engagement

Mu’alim Al-Qur’an allows users to access the application for free through the browsers or mobile application in phones or tablets. The users have a choice to use the application anonymously without tracking their progress or by logging in with an email address and a password to keep track of their progress within a particular stage or between stages. The interaction with Mu’alim Al-Qur’an is made with simple interfaces using touchscreen...

Useful Links


Gawa

Mu'alim al-Qur'an - Connecting People with The Qur'an

Kuhusu Mua’lim Al-Qur’an
Lengo

“Mu’alim Al-Qur’an” ni kisaidizi cha kujifunza mwenyewe Qur’ani kwa kutumia vyombo vya kisasa. Kisaidizi hichi kimejumuisha vipengele vyote muhimu vya elimu ya Qur’ani ambayo imewajibika kwa kila Muislamu. Matumizi yake yanaweza pia kuwa katika vyuo vya Qur’ani na kuwa ni kisaidizi cha kukifanya kisomo chenye ufanisi na tajiriba nzuri ya kujifunza; kupunguza muda wa kisomo, kuongeza kadiri ya usomeshaji na kuikuza elimu ya wanafunzi ya Qur’ani kuanzia kwa kujifunza kusoma tu na kuihifadhi Qur’ani hadi kuzifahamu kanuni za tajwidi, maana za Qur’ani na lugha ya Qur’ani.



Mpango wa Kuiendeleza

Tovuti www.mualim-alquran.com ni hatuwa ya mwanzo katika kuiendeleza Mu’alim Al-Qur’an. Hatuwa hii ya mwanzo ni hiyo ya kuweka tovuti isiyo na malipo kupitia chombo chochote chenye mtandao kama vile kompyuta (Mac au Windows), tableti (Apple au Android), na simu za mkono (Apple au Android). Katika vyombo vyote hivyo, sura ya Mu’alim Al-Qur’an hujirekebisha wenyewe kufuatana na kiwango cha eneo la skrini.



Katika hatuwa ya pili Mu’alim Al-Qur’an itaendelezwa katika programu (application) itumikayo katika vyombo vya iPhone na Android. Programu hii itaweza pia kutumika bila ya kuingia mtandao, na itawezesha matumizi yote ya Mu’alim Al-Qur’an na yote yaliyomo bila ya kuwa na haja ya kuingia katika mtandao.



Katika hatuwa ya tatu Mu’alim Al-Qur’an itaendelezwa kwa kujengwa ndani ya tableti mahususi kwa kazi hiyo tu. Tableti hiyo itakuwa na yote yaliyomo ndani ya Mu’alim Al-Qur’an na utumiaji wake, bila ya kuwa na haja ya mtandao. Na zaidi ya hivyo, tableti hiyo itajengewa chaja itumiyayo nguvu za jua na kuwezesha kuitumia Mu’alim Al-Qur’an bila ya haja ya kuunga na umeme.



Waliokusudiwa

Kimsingi, Mu’alim Al-Qur’an imekusidiwa kwa wale Waislamu wasiozungumza Kiarabu na wanaozungumza yoyote kati ya lugha zifwatazo: Kiswahili, Kiingereza, Kifaransa, Kijarumani na Kitaliana. Programu hii pia inawafaa wowote wanaozungumza lugha hizo kujifunza wenyewe kusoma Qur’ani.



Yaliyomo

Mu’alim Al-Qur’an imejumuisha mada sita zifuatazo: (1) Msingi wa alfabeti ya Kiarabu, herufi na maneno yake kutokana na kawaida ya “Qaida Al-Noorania”. (2) Usomaji wa Qur’ani neno kwa neno na aya kwa aya. (3) Kanuni za Tajwidi katika usomaji. (4) Kuhifadhi Qur’ani kwa nidhamu ya kikawaida ya kukariri na kufwatilia maendeleo yake. (5) Maana ya Qur’ani. (6) Kiarabu, lugha asili ya Qur’ani.



Mwingiliano na watumiaji

Mu’alim Al-Qur’an iwazi na bure kwa watumizi wake kupitia mtandao au programu katika simu za mkono na tableti. Watumizi wake wana hiari ya kuitumia programu bila ya kujisajili na bila ya kufwatilia maendelo yao; au kwa kujisajili na anuwani pepe na neno la siri ili kufwatilia maendeleo yao katika hatua fulani au baina ya hatuwa. Mwingiliano na Mu’alim Al-Qur’an umefanywa kwa njia nyepesi kutumia skrini ya kugusa.